• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 05, 2019

  BAO LA PENALTI YA UTATA LAIBEBA LIVERPOOL, YAILAZA LEICESTER 2-1

  James Milner akiifungia Liverpool kwa penalti ya utata dakika ya 90 na ushei kuipa ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Liverpool walitangulia kwa bao la Sadio Mane dakika ya 40, kabla ya James Maddison kuisawazishia Leicester dakika ya 80 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAO LA PENALTI YA UTATA LAIBEBA LIVERPOOL, YAILAZA LEICESTER 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top