• HABARI MPYA

  Saturday, October 05, 2019

  HAZARD AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO REAL MADRID YASHINDA 4-2

  Karim Benzema akishangilia na Eden Hazard baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Granada kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Benzema alifunga bao la kwanza dakika ya pili, Hazard la pili dakika ya 45 na ushei, wakati mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Luka Modric dakika ya 61 na James Rodriguez dakika ya 90 na ushei, wakati ya Granada yamefungwa na Darwin Machis kwa penalti dakika ya 69 na Domingos Duarte dakika ya 77 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO REAL MADRID YASHINDA 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top