Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 58 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Napoli kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Aviva mjini Dublin. Mabao megine ya Liverpool yamefungwa na James Milner dakika ya nne, Georginio Wijnaldum dakika ya tisa, Daniel Sturridge dakika ya 73 na Alberto Moreno dakika ya 77 kipa mpya, Mbrazil Alisson Ramses Becker aliyesajiliwa kutoka Roma akianza vyema kwa kusimama langoni kwa mara ya kwanza bila kuruhusu bao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Inside Marseille's crisis after Roberto De Zerbi: How Mason Greenwood's
'nonchalant attitude has irritated coaching staff', why he could leave the
club this summer - and the 'unrecognisable' former Spurs star who typifies
their dismal form
-
Marseille and chaos fit like hand in glove and this season has been a
typically bumpy ride for fans of the French club. Even a team bonding trip
to Marbell...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment