Gareth Bale akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 39 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Juventus kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa FedExField, Landover, Maryland nchini Marekani. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Marco Asensio yote dakika za 47 na 56 wakati la Juve iliyomkosa mshambuliaji wake mpya, Cristiano Ronaldo ambaye anaendelea na mazoezi ya peke yake mjini Turin limefungwa na Daniel Carvajal aliyejifunga dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
It's bronze for Adam Ramsay-Peaty AGAIN: Swimmer falls short of 50m
breaststroke gold at Commonwealth Games just days after he broke down in
tears following 100m third place
-
Adam Ramsay-Peaty suffered more Commonwealth Games heartbreak after missing
out on gold in the men's 50 metres breaststroke final.
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment