Wachezaji wa PSG wakishangilia na Kombe lao Mabingwa baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Monaco leo Uwanja wa Shenzhen City mjini Shenzhen mabao yake yakifungwa na Angel Di Maria mawili dakika za 33 na 90 na ushei, Christopher Nkunku dakika ya 40 na Timothy Weah dakika ya 67, kikosi cha kocha Thomas Tuchel kikitwaa taji la kwanza msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
From Enugu to the world: How Hackathon Africa 3.0 is building tomorrow’s
tech leaders
-
When 20 young Nigerians walked into the Hackathon Africa Innovation Hub in
Enugu on July 17, they were not merely reporting for another training
programm...
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment