Jefferson Farfan akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Peru dakika ya 28 Uwanja wa Taifa mjini Lima katika ushindi wa 2-0 dhidi ya New Zealand kwenye mchezo wa marudiano wa mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi kwa Amerika Kusini. Bao la pili lilifungwa na Christian Ramos na sasa Peru inakamilisha idadi ya timu 32 zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwakani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Books, authors and readers: a day at the Lisbon Book Fair
-
In Lisbon, June is about more than the popular saints’ festivities: it is
also the month when Parque Eduardo VII turns into the country’s biggest
bookshop....
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment