Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akivuta kasi kumtoka beki wa Ndanda FC, Paul Ngalema katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. Timu hizo hazikufungana
Kiungo wa Yanga, Salum Telela akiudhibiti mpira mbele ya Simon Msuva wa Yanga na mchezaji mwenzake, Paul Ngalema
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akivuta kasi kuwatoka wachezaji wa Ndanda
Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke (kulia) aijaribu kumtoka mchezaji wa Ndanda FC
Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akigombea mpira na kiungo wa Ndanda, Kiggi Makassy
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimtoka beki wa Ndanda FC
Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimtoka kiungo wa Ndanda, Salum Telela jana
Deus Kaseke wa Yanga akiruka juu kuwania mpira dhidi ya mchezaji wa Ndanda
0 comments:
Post a Comment