Wakali watatu wa Barcelona kutoka kushoto Neymar, Lionel Messi na Luis Suarez wakishangilia hat-trick ya Messi katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Celtic kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Neymar, Iniesta na Suarez mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
JAMB’s disability initiative records 4,216 admissions in 10 years
-
JAMB says 4,216 candidates with disabilities gained admission in 10 years
through JEOG, expanding access to inclusive higher education in Nigeria.
The po...
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment