Mshambuliaji Mjerumani, Thomas Muller akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Bayern Munich katika ushindi wa 5-0 kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Rostov Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Robert Lewandowski kwa penalti, Joshua Kimmich mawili na Juan Bernat 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
INEC targets 90% voter registration in Cross River hills, border communities
-
INEC aims to register at least 90 per cent of eligible voters in remote
Cross River communities ahead of the 2027 elections.
The post INEC targets 90% vo...
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment