Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akimlamba chenga kiungo wa PSG, Grzegorz Krychowiak katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, bao la Arsenal likifungwa na Sanchez dakika ya 77, baada ya Edinson Cavani kutangulia kuifungia PSG dakika ya kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Adeleke inaugurates Lameco flyover, says 300km of roads executed in Osun
-
Governor Ademola Adeleke inaugurated the Lameco Flyover in Osogbo, saying
his administration has executed over 300 kilometres of roads across Osun.
The p...
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment