Nyota wa Liverpool, Jordan Henderson akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 36 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Engkand Uwanja wa Stamford Bridge, London usiku huu. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Dejan Lovren dakika ya 17 wakati la Chelsea limefungwa na Diego Coasta dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man to run 100 miles between castles for charity
-
David said he is "forever grateful" for the charity which stepped in for
his loved ones when they "needed it most."
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment