Mchezaji wa Tanzania Bara, Happy Hezron akigombea mpira na mchezaji wa Ethiopia katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge ya wanawake jana Uwanja wa Ufundi, Njeru, Jinja, Uganda
Asha Rashid 'Mwalala' wa Kili Queens akigombea mpira na mchezaji wa Ethiopia
Mchezaji wa Ethiopia akimtoka Fatuma Issa wa Tanzania
Mchezaji wa Ethiopia akimiliki mpira katika ya wachezaji wa Tanzania
Kikosi cha Tanzania katika mchezo wa jana
Kikosi cha Ethiopia katika mchezo wa jana
0 comments:
Post a Comment