Gareth Bale wa Wales akiuinua mpira kumfunga kipa wa Moldova katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Ulaya Uwanja wa Cardiff mjini Cardiff jana. Bale alifunga mabao mawili moja kwa penalti na mengine yalifungwa na Sam Vokes na Joe Allen PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Roebuck in for Furbank as England face back-three juggle
-
Sale wing Tom Roebuck has been drafted into the England try to balance
back-three options amid a raft of injuries.
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment