Diego Costa (katikati) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 8-0 wa Hispania dhidi ya Liechtenstein mechi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Ulaya. Costa alifunga mabao mawili jana Uwanja wa Manispaa ya Reino de Leen mjini Leon, Hispania wakati mabao mengine yalifungwa na Sergi Roberto, David Silva mawili, Vitolo na Alvaro Morata mawili pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pogacar takes Tour yellow with sweltering stage three win
-
Defending Tour de France champion Tadej Pogacar takes victory on stage
three of the Tour de France with a late acceleration to the line.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment