Graziano Pelle akiifungia bao la kwanza Italia katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji Israel usiku wa jana Uwanja wa Sammy Ofer mjini Haifa katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia. mabao mengine ya Italia katika mchezo huo ambao beki wake tegemeo Giorgio Chiellini alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 55 baada ya kugombana na Tomer Hemed wakigombea mpira yalifungwa na Antonio Candreva na Ciro Immobile wakati la Israel lilifungwa na Tal Ben Haim PICHA ZAIDI GONGA HAPA
As Norway advance, is Wright correct about Scottish football's ills?
-
From comparisons with Norway, undervalued broadcasting deals and
unfulfilled potential, Ian Wright says he feels sorry for Scottish football
fans - but is ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment