Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 68 katika sare ya 2-2 na Manchester City jioni ya leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 10, wakati ya Man City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya nane na Kevin De Bruyne dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup: Cristiano Ronaldo hurting Portugal – Forlan
-
The 2010 World Cup Golden Ball winner, Diego Forlan has suggested that
Cristiano Ronaldo's presence in Portugal could be hurting the team in the
ongoing ...
33 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment