Beki, kiungo na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Said Nassor Mwamba ‘Kizota’ akiwa na jezi ya Fanja nchini Oman moja ya klabu alizochezea enzi za uhai wake, nyingine zikiwa Yanga, Simba, Kariakoo United ya Lindi na Twiga ya Kinondoni alikomalizia soka yake. Kizota ni kati ya vipaji vya hali ya juu kuwahi kutokea katika ardhi ya Tanzania.
USMNT knows group stage success won't matter without a World Cup knockout
run
-
Striker Folarin Balogun said Sunday that the group stage "won't mean much"
unless the U.S. makes a run.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment