Kinda wa Chelsea, Bertrand Traore akipambana na mkongwe bwa Liverpool, Kolo Toure katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield, timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1. Bao la Liverpool lilifungwa na Christian Benteke dakika ya 93, baada ya Eden Hazard kutangulia kuifungia Chelsea dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
One person dead after fire in North York apartment unit
-
One person is dead after a fire at a North York high rise residential
building early Sunday morning, said police.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment