![]() |
Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika, Mbwana Ally Samatta akiitembeza tuzo yake aliyoshinda Alhamisi mjini Abuja, Nigeria baada ya kuwasili nyumbani, Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana. |
![]() |
Samatta akiwa na Waziri wa Michezo, Nape Nnauye katika hafla maalum ya kumpongeza jana |
![]() |
Samatta akiwasili ukumbini kwa ajili ya kuzungumza na Waandishi wa Habari jana Dar es Salaam |
![]() |
Mbwana Samatta akifurahia na tuzo yake jana mjini Dar es Salaam |
![]() |
Samatta akizungumza na Waandishi wa Habari katika meza moja na Nnauye |
0 comments:
Post a Comment