Wapenzi na mashabiki maarufu wa soka nchini, Esther na Bob Chicharito (kulia) walijitokeza pia kumlaki Samatta. Mshambuliaji huyo wa TP Mazembe ya DRC alipata mapokezi mazuri licha ya kuwasili usiku wa manane
Wapenzi mbalimbali wa soka wakimkabidhi zawadi Mbwana Samatta Uwanja wa Ndege wa JNIA
Kutoka kulia ni Meneja wa Samatta, Jamal Kisongo, Samatta mwenyewe na mchezaji mwenzake wa Tanzania na TP Mazembe, Thomas Ulimwengu
Mwandishi maarufu wa habari za michezo, Mwani Nyangassa naye alijitokeza akiwa na fulana maalum ya "Hongera Samatta' |
0 comments:
Post a Comment