• HABARI MPYA

    Saturday, June 13, 2015

    KINONDONI WAWA WASHINDI WA TATU MASHINDANO YA U13 TAIFA

    Wachezaji wa Kinondoni wakiwa wamembeba kipa wao, Shaaban Kimwaga baada ya kucheza penalti nne katika ushindi wa penalti 2-1 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 50 dhidi ya Mara katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu wa mashindano ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 13 jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.  
    Beki wa Kinondoni, Hamisi Mahmoud (kulia) akijaribu kuupitia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Mara, Ephraim Daud
    Winga wa Kinondoni, Sabri Dahali (kushoto) akimtoka beki wa Mara, Kevin Pius
    Kevin Pius wa Mara akiwania mpira dhidi ya Hamisi Mahmoud wa Kinondoni
    Mshambuliaji wa Mara, Ramadhani Rajab akijivuta kupiga shuti dhidi ya beki wa Kinondoni, Abdul Hussein
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KINONDONI WAWA WASHINDI WA TATU MASHINDANO YA U13 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top