• HABARI MPYA

    Monday, October 06, 2014

    RONALDO NA MPENZI IRINA KATIKA PATI LA KUSHEREHEKEA HAT TRICK YA 22 REAL MADRID



    Cristiano Ronaldo amesherehekea hat trick yake ya jana Real Madrid kwa kumtoa kwa chakula cha usiku mpenzi wake, Irina Shayk
    Ronaldo scored in his 14th consecutive home game as Real Madrid made light work of beating Athletic Bilbao
    Ronaldo alifunga kwa mara ya 14 mfululizo mechi za nyumbani, Real Madrid ikiifunga Athletic Bilbao 5-0
    Shayk was in attendance at the Bernabeu, but didn't look too impressed with her loved one's performance
    Shayk alikuwapo Uwanja wa Bernabeu jana Ronaldo akifunga hat trick ya 22 tangu atue Real Madrid
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO NA MPENZI IRINA KATIKA PATI LA KUSHEREHEKEA HAT TRICK YA 22 REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top