Mshambuliaji Said Rashid Bahanuzi amefunga bao pekee Yanga SC ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji Ambassador mjini jioni ya leo mjini Kahama, Shinyanga katika mchezo wa kirafiki. Yanga iliweka kambi Kahama kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar mjini Bukoba Jumamosi wiki hii.
0 comments:
Post a Comment