• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 23, 2014

  MWANAMKE MTENDAJI MKUU MPYA CHELSEA, MRITHI WA PETER KENYON ANG'OKA

  KLABU ya Chelsea imetangaza kwamba Ron Gourlay anaachia wadhifa wake wa Mtendaji Mkuu na mwanamke, Marina Granovskaia anatarajiwa kumrithi.
  Mscotland huyo, aliyejiunga na klabu mwaka 2004 na kuanza kazi kama Ofisa Mwendeshaji Mkuu kabla ya kurithi mikoba ya Peter Kenyon ya Utendaji Mkuu mwaka 2009, anaondoka ili kwenda kutafuta fursa nyingine.
  Marina Granovskaia, mmoja wa washauri wa Roman Abramovich, ndiye aliyefanikisha usajili wa Diego Costa na pia kurejea kwa kocha Jose Mourinho Chelsea- na sasa anajiandaa kupewa majukumu makubwa zaidi Stamford Bridge
  Marina Granovskia akiwa na Didier Drogba mwaka 2010 na mataji ya Ligi Kuu ya England, Kombe la FA na Ngao ya Jamii

  HABARI ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2803380/chelsea-announce-ron-gourlay-leave-role-chief-executive-10-years-club.html#ixzz3Gup7QfxM 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWANAMKE MTENDAJI MKUU MPYA CHELSEA, MRITHI WA PETER KENYON ANG'OKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top