• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 27, 2014

  ARSENAL YAFIKISHA MABAO 1,500 LIGI KUU, LAKINI MAN UNITED BADO BABA LAO ENGLAND

  KLABU ya Arsenal imefikisha mabao 1,500 iliyofunga katika Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland Jumamosi.
  Mabao mawili ya Alexis Sanchez aliyoifungia timu ya Arsene Wenger Uwanja wa Light, yanaifanya The Gunners biwe klabu ya pili ya Ligi Kuu England kufikisha idadi hiyo ya mabao.
  Huku Thierry Henry, Ian Wright, Robin van Persie na Dennis Bergkamp wakiwa miongoni mwa wachezaji wa zamani wa Arsenal waliochangia mabao mengi kwenye idadi hiyo, ajabu hiyo inakuwa timu ya pili kufunga mabao mengi katika historia ya Ligi Kuu.

  Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland 

  MSIMAMO WA KIHISTORIA LIGI KUU ENGLAND
  KlabuPWDLGFGAGDPTS
  1Man United85755017912817077599481829
  2Arsenal85746322616815008066941615
  3Chelsea85745521718514528166361581
  4Liverpool85742621521614218585631493
  5Tottenham85733922129712041130741238
  6Everton85731224530011091075341181
  7Aston Villa85630626029010631065-21178
  8Newcastle77730520227010941027671117
  9Blackburn69626218425092790720970
  10Man City667266167234958817141965
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAFIKISHA MABAO 1,500 LIGI KUU, LAKINI MAN UNITED BADO BABA LAO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top