• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 24, 2014

  MASELA WA VILLA SQUAD HAO NDANI YA LAMADA!

  Wachezaji wa Villa Squad kutoka nyuma Godfrey Taita, Ramadhani Chombo 'Redondo' na Nurdin Bakari wakiwa wamepozi jana katika hoteli ya Lamada, Ilala, Dar es Salaam kabla ya mchezo wao na Friends Rangers Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, Uwanja wa Karume, Jijini ambao ulimalizika kwa sare ya bila kufungana. Villa imesajili wakongwe hao waliowika Simba na Yanga ili wasaidie nguvu za kuirejesha Ligi Kuu. Nurdin alicheza SImba na Yanga, Redondo Simba na Taita Yanga SC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MASELA WA VILLA SQUAD HAO NDANI YA LAMADA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top