• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 29, 2014

  SHETTA ALIPOTINGA NA MKOKO WAKE MPYA KABISA KARUME KUISAPOTI FRIENDS RANGERS JANA

  Msanii wa Bongo Fleva, Shetta akiwasili Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam jana kushuhudia mpambano wa Ligi ya soka Daraja la Kwanza Tanzania Bara kati ya timu yake, Friends Rangers na Ashanti United jana, Rangers ilishinda 2-1.
  Shetta akiwa na Msemaji wa Rangers, Asha Kigundula kulia akiangalia mechi
  Gari jipya kabisa aina ya Harrier imepaki, Shetta anaangalia burudani chini

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHETTA ALIPOTINGA NA MKOKO WAKE MPYA KABISA KARUME KUISAPOTI FRIENDS RANGERS JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top