• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 31, 2014

  NANI MTANI JEMBE 2 KATIKA PICHA

  Gari la Promoshen la Kilimanjaro Premium Lager likipita katika Mitaa ya Mwenge Dar es Salaam kutangaza Kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa ajili ya wadau wa timu ya Simba na Yanga.
  Mashabiki wa Timu ya Simba na Yanga wakicheza muziki  katika mitaa ya Mwenge katika mojawapo ya shamrashamra za Kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayofanyika kwa ajili ya mashabiki wa timu mbili hizo na kuratibiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. 
  Mtoa huduma katika Promosheni ya Nani Mtani Jembe, Everin Samson (kushoto), akimuelekeza mteja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Frenk Emannuel wakati wa kuitangaza Kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 katika Bar ya Calabash jijini Dar es Salaam juzi. 
  Mtoa huduma katika Promosheni ya Nani Mtani Jembe, Everin Samson (kulia), akimuelekeza jinsi ya kushiriki mteja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Said Manyema wakati wa kuitangaza Kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 katika Bar ya Calabash jijini Dar es Salaam juzi. 
  Washereheshaji katika Kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 wakikzungumza na baadhi ya wateja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakati wa kuitangaza kampeni hiyo katika Bar ya Calabash juzi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NANI MTANI JEMBE 2 KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top