• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 23, 2014

  SHINJI KAGAWA ALIYEONEKANA 'WA KAZI GANI' MAN UNITED AENDELEA KUNG'ARA NA UZI WA NJANO AKIINGOZA DORTMUND KUUA 4-0 ULAYA

  Kiungo wa zamani wa Manchester United, Shinji Kagawa (kulia) akigombea mpira na mchezaji wa Galatasaray, Felipe Melo katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu nchini Uturuki. Borussia Dortmund imeshinda 4-0, mabao ya Aubameyang dakika ya sita na 18, Reus dakika ya 41 na Ramos dakika ya 83. 

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2803918/Galatasaray-0-4-Borussia-Dortmund-Pierre-Emerick-Aubameyang-brace-helps-German-convincing-win-Turkey.html#ixzz3Gua28BIk 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHINJI KAGAWA ALIYEONEKANA 'WA KAZI GANI' MAN UNITED AENDELEA KUNG'ARA NA UZI WA NJANO AKIINGOZA DORTMUND KUUA 4-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top