• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 30, 2014

  REAL BILA RONALDO, BALE YAUA 4-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA MFALME

  Wachezaji wa Real Madrid wakipongezana baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Cornella unaowapeleka Robo Fainali ya Kombe la Hispania. Mabao ya Real iliyocheza bila nyota wake Ronaldo na Gareth Bale yalifungwa na Raphael Varane mawili, Javier Hernandez 'Chicharito' na Marcelo, wakati bao pekee la wenyeji lilifungwa na Oscar Munoz.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL BILA RONALDO, BALE YAUA 4-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top