• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 31, 2014

  YANGA SC WAMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA, WADAU WENGINE KIBAO WAMIMINIKA MSIBANI UNUNIO

  Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Clement Sanga (kulia) akimfariji Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ambaye amefiwa na mama yake mzazi jana nyumbani kwake Ununio, Mbezi Beach, Dar es Salaam.
  Hans Poppe akizungumza na rafiki yake katika msiba huo jana
  Balozi Abdul 'Cisco' Mtiro kushoto akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayoub Nyenzi kulia na Mwandishi wa gazeti la Mwanaspoti, Khatim Naheka katikati 
  Memba wa kundi la Friends Of Simba (F.O.S.), Jerry Yambi kushoto na  mfanyabiashara Abdulfatah Salim kulia
  Mtendaji Mkuu wa BIN ZUBEIRY Blog, Mahmoud Zubeiry (katikati) na Nyenzi na Mtiro kushoto
  Hans Poppe akifarijiwa na ndugu, jamaa na marafiki
  Kulia ni mfuasi wa kundi lililopoteza umaarufu, Yanga Family, Mashaka Ndonde na kushoto DJ mkongwe, Bonny Luv ambaye ni mmoja wa watayarishaji wa mwanzoni wa muziki wa Bongo Fleva

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WAMFARIJI HANS POPPE MSIBA WA MAMA, WADAU WENGINE KIBAO WAMIMINIKA MSIBANI UNUNIO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top