• HABARI MPYA

  Friday, October 24, 2014

  MAZOEZI YA MWISHO BARCA LEO KABLA YA KUIVAA REAL CLASICO KESHO


  Mshambuliaji Luis Suarez akionekana mwenye furaha na wenzake mazoezini, Lionel Messi (kulia) na Gerard Pique leo kujiandaa na mechi ya La Liga dhidi ya Real Madrid kesho Uwanja wa Bernabeu
  Suarez joins his teammates in a training session at Joan Gamper Sports City in Barcelona on Friday 
  Suarez amefanya mazoezi kikamilifu na wenzake leo Uwanja wa Joan Gamper Sports City mjiniLuis Enrique confirmed that Luis Suarez will 'get some minutes' for Barcelona on Saturday against Real Madrid
  Kocha Luis Enrique ameahidi kumpa dakika kadhaa Luis Suarez dhidi ya Real Madrid kesho
  Suarez (second right) is the centre of attention as he trains with his team-mates prior to Saturday's match 
  Suarez (wa pili kuliaakizungumza na wenzake mazoezini
  Suarez (second left) looked relaxed in training with Javier Mascherano (left), Lionel Messi (right) and Neymar 
  Messi kulia akizungumza na Neymar, wakati kushoto Javier Mascherano anazungumza na Suarez mazoezini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO BARCA LEO KABLA YA KUIVAA REAL CLASICO KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top