• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 29, 2014

  SI MWIZI, NI SHABIKI WA FRIENDS RANGERS YA MANZESE NDANI YA KARUME

  Shabiki la Friends Rangers likicheza sarakasi kwenye mchanga Uwanja Karume kushangilia timu yake ilipokuwa ikimenyana na Ashanti United katika mchezo wa Ligi Daraja la kwanza Tanzania Bara jana, Rangers ilishinda 2-1.
  Shabiki huyo akiwapa burudani mashabiki wenzake

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SI MWIZI, NI SHABIKI WA FRIENDS RANGERS YA MANZESE NDANI YA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top