• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 25, 2014

  SANCHEZ AING'ARISHA ARSENAL ENGLAND, APIGA ZOTE MBILI GUNNERS WAKIUA 2-0

  • ARSENAL imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Sunderland Uwanja wa Light katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo.
  • Alexis Sanchez aliifungia mabao yote hayo timu ya Arsene Wenger dakika ya 30 na la pili dakika ya 90.
  • Kikosi cha Sunderland kilikuwa; Mannone, Vergini, Van Aanholt, O’Shea, Brown, Cattermole, Larsson, Rodwell/Gomez dk74, Buckley, Johnson/Altidore dk74 na Fletcher/Wickham dk51.
  • Arsenal; Szczesny, Chambers, Mertesacker, Monreal, Gibbs/Bellerin dk74, Arteta/Ramsey dk88, Flamini, Oxlade-Chamberlain/Rosicky dk90, Cazorla, Sanchez na Welbeck.
  Nyota wa Arsena, Alexis Sanchez akimfunga kipa wa Sunderland, Vito Mannone leo

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2807717/Sunderland-0-2-Arsenal-Alexis-Sanchez-double-secures-three-points-Arsene-Wenger.html#ixzz3HB8a7yiT 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ AING'ARISHA ARSENAL ENGLAND, APIGA ZOTE MBILI GUNNERS WAKIUA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top