• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 31, 2014

  KIONGOZI YANGA SC AFANYA 'MAMBO' UWANJA WA KAITABA MCHANA KWEUPEEE

  Wakandarasi; Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda akisawazisha udongo kwenye Uwanja wa Kaitaba leo baada ya kuchimbua na kuurudhishia. Yanga SC itacheza na wenyeji Kagera Sugar kesho kwenye Uwanja huo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIONGOZI YANGA SC AFANYA 'MAMBO' UWANJA WA KAITABA MCHANA KWEUPEEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top