• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 22, 2014

  KUELEKEA EL CLASICO JUMAMOSI, JIKUMBUSHE REAL NA BARCA TANGU MWANZO WA UPINZANI

  KAMA kuna upinzani wa kweli katika ulimwengu wa soka, basi katika orodha 'El Clasico' inashika nambari moja.
  Majina mawili makubwa katika ulimwengu wa soka, Real Madrid na Barcelona, watamenyana Uwanja wa Bernabeu wikiendi hii na BIN ZUBEIRY kutoka Sportsmail inakuletea picha za matukio ya 'Miaka ya Dhahabu' ya vigogo hao wa La Liga.
  Kuanzi enzi za gwiji wa Real, Alfredo Di Stefano anafunga bao miaka ya 1960 hadi Gareth Bale akishangilia bao la ushindi katika Fainali ya Kombe la Hispania mwaka huu timu hizo zilipokutana kwa mara ya mwisho.
  Picha yetu ya kwanza inamuonyesha gwji wa  Real Madrid, Alfredo Di Stefano akifunga bao katika mechi ya La Liga Uwanja wa Bernabeu miaka ya 1960. Real ilishinda 5-3 na kutwaa taji la Ligi msimu huo, ikimaliza na pointi 12 zaidi ya wapinzani wao wa Jiji, Atletico. Barcelona ilimaliza katika nafasi ya nne kwenye msimamo.

  PICHA ZAIDI GONGA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2799346/el-clasico-real-madrid-v-barcelona-golden-years-special.html#ixzz3GsgKojV5 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KUELEKEA EL CLASICO JUMAMOSI, JIKUMBUSHE REAL NA BARCA TANGU MWANZO WA UPINZANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top