• HABARI MPYA

    Thursday, October 09, 2014

    NANI MTANI JEMBE YATAMBULISHWA RASMI KWA WAFANYAKAZI WA TBL MWANZA‏

    Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania - Mwanza wakicheza danadana katika hafla ya utambulisho wa kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mwanza jana 
    Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mwanza wakishindana kuvuta kamba katika hafla ya utambulisho wa kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mwanza jana 
    Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe inyoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania jijini Mwanza jana 
    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Iddi Kajuna akiwahutubia wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania kwenye hafla ya kuitambulisha Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mwanza jana.
    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga akimkabidhi John Mazula kadi ya uanachama wa Yanga wakati wa kuitambulisha Nani Mtani Jembe inayoendeshwa  na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania jijini Mwanza jana
    Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania - Mwanza wakicheza foosball katika hafla ya utambulisho wa kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mwanza jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NANI MTANI JEMBE YATAMBULISHWA RASMI KWA WAFANYAKAZI WA TBL MWANZA‏ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top