IBRAHIMOVIC KUIKOSA MECHI YA MARUDIANO NA CHELSEA DARAJANI BAADA YA KUUMIZWA NA DAVID LUIZ JANA
MSHAMBULIAJI Zlatan Ibrahimovic ataukosa mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kutokana na kuumia nyama za paja jana timu yake Paris Saint-Germain ikiichapa mabao 3-1 Chelsea katika robo fainali ya kwanza. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Sweden aliuamia baada ya kugongana na beki wa Chelsea, David Luiz dakika ya 68 na sasa atatakiwa kuwa nje kwa wiki tatu. Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni tegemeo la PSG katika kampeni za kutwaa taji la Ulaya na mengine ya nyumbani kukosekana kwake katika mchezo wa Stamford Bridge Jumanne ijayo litakuwa pigo kwa timu yake. Maumivu makubwa: Zlatan Ibrahimovic akiugulia maumivu jana
Item Reviewed: IBRAHIMOVIC KUIKOSA MECHI YA MARUDIANO NA CHELSEA DARAJANI BAADA YA KUUMIZWA NA DAVID LUIZ JANA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
10 best midfielders at the 2026 World Cup
-
Goal-scoring will never go out of fashion, and they’ve always said that
“defense wins championships,” but soccer continues to revolve around the
engine r...
0 comments:
Post a Comment