• HABARI MPYA

  Thursday, January 18, 2018

  BONY, AYEW WOTE WAFUNGA SWANSEA CITY YAILAZA 2-1 WOLVES

  Waafrika Jordan Ayew na Wilfried Bony wakishangilia baada ya wote kuifungia Swansea City usiku wa jana Uwanja wa Liberty katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Wolves na kuiwezesha timu yao kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la FA England. Ayew alifunga dakika ya 11 na Bonny dakika ya 69, wakati bao la Wolves lilifungwa na Diogo Jota dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BONY, AYEW WOTE WAFUNGA SWANSEA CITY YAILAZA 2-1 WOLVES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top