• HABARI MPYA

  Sunday, November 12, 2017

  MORATA AFUNGA HISPANIA YAIBAMIZA COSTA RICA 5-0 MALAGA

  Mshambuliaji wa Chelsea, Alvaro Morata akitembea kishujaa baada ya kufunga bao la pili la Hispania dakika ya 23 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Costa Rica usiku wa jana kwenye mchezo wa kirafiki mjini Malaga. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Jordi Alba dakika ya sita, David Silva mawili dakika ya 51 na 55 na Andres Iniesta dakika ya 73 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MORATA AFUNGA HISPANIA YAIBAMIZA COSTA RICA 5-0 MALAGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top