• HABARI MPYA

    Tuesday, November 21, 2017

    MANGARA KUZIBA PENGO LA JOHN STONES LEO MAN CITY

    Beki Eliaquim Mangala (katikati) akiwa mazoezini na wenzake jana Manchester City ikijiandaa na mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya leo usiku dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi. Mangala anaweza kuanza katika beki ya kati leo kufuatia John Stones kuumia mwishoni mwa wiki kwenye mechi dhidi ya Leicester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANGARA KUZIBA PENGO LA JOHN STONES LEO MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top