• HABARI MPYA

    Monday, November 20, 2017

    KAMUSOKO ALIKUWA NA FAMILIA YAKE JANA YANGA IKIUA 5-0

    Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamusoko (kulia) akiwa na mkewe (kushoto) na mwanawe jana Uwanja wa Uhuru timu yake ikicheza na Mbeya City FC na kuibuka na ushindi wa 5-0
    Thabani Kamusoko anakosekana kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa kwa sababu ni majeruhi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAMUSOKO ALIKUWA NA FAMILIA YAKE JANA YANGA IKIUA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top