• HABARI MPYA

    Thursday, November 30, 2017
    AZAM TV KUONYESHA MECHI ZOTE 'LIVE' KOMBE LA CECAFA CHALLENGE

    AZAM TV KUONYESHA MECHI ZOTE 'LIVE' KOMBE LA CECAFA CHALLENGE

    Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Azam Media, imeingia mkataba na Baraza la Vyama vya Soka Afika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa ...
    RUDIGER AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAIBWAGA SWANSEA 1-0

    RUDIGER AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAIBWAGA SWANSEA 1-0

    Beki Mjerumani, Antonio Rudiger akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 55 ikiilaza 1-0 Swansea City katika mchezo wa...
    RAHEEM STERLING TENA, AIFUNGIA LA USHINDI WA 2-1 MAN CITY

    RAHEEM STERLING TENA, AIFUNGIA LA USHINDI WA 2-1 MAN CITY

    Raheem Sterling akiruka juu kishujaa kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya sita ya muda wa nyingeza ba...
    GIROUD APIGA MBILI, LACAZETTE, SANCHEZ 'MOJA MOJA' ARSENAL YASHINDA 5-0 ENGLAND

    GIROUD APIGA MBILI, LACAZETTE, SANCHEZ 'MOJA MOJA' ARSENAL YASHINDA 5-0 ENGLAND

    Olivier Giroud akishangilia  baada ya kufunga mabao mawili dakika za 68 na 87 katika ushindi wa 5-0 wa Arsenal dhidi ya  Huddersfield Tow...
    EVERTON YAFUFUA MAKALI, ROONEY APIGA HAT TRICK YASHINDA 4-0

    EVERTON YAFUFUA MAKALI, ROONEY APIGA HAT TRICK YASHINDA 4-0

    Wayne Rooney akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 18, 28 na 66 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United u...
    Wednesday, November 29, 2017
    MAVUGO MRUNDI PEKEE ANAYECHEZA TANZANIA ALIYEITWA KIKOSI CHA INT’HAMBA MURUGAMBA

    MAVUGO MRUNDI PEKEE ANAYECHEZA TANZANIA ALIYEITWA KIKOSI CHA INT’HAMBA MURUGAMBA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Simba, Laudit Mavugo ni mchezaji pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenye kikosi cha Bu...
     KOCHA MPYA EVERTON, ALLARDYCE ASEMA WACHEZAJI HAWAJIAMINI TENA

    KOCHA MPYA EVERTON, ALLARDYCE ASEMA WACHEZAJI HAWAJIAMINI TENA

    Sam Allardyce ni kocha mpya wa Everton kwa mswhahara wa Pauni Milioni 6 kwa mwaka   PICHA ZAIDI GONGA HAPA RATIBA YA MECHI ZA EVERTO...
    KIPA WA YANGA, KINDA WA AZAM WAONGEZWA KILI STARS

    KIPA WA YANGA, KINDA WA AZAM WAONGEZWA KILI STARS

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje, ameongeza ...
     NINJE APEWA NAFASI YA KUONGEZA WATATU KIKOSI CHA CHALLENGE

    NINJE APEWA NAFASI YA KUONGEZA WATATU KIKOSI CHA CHALLENGE

    Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limempa fursa kocha Ammy Ninje kuongeza wachezaji watatu kwenye kikosi...
    ASHLEY YOUNG AFUNGA MAWILI, MAN UNITED YAIPIGA 4-2 WATFORD

    ASHLEY YOUNG AFUNGA MAWILI, MAN UNITED YAIPIGA 4-2 WATFORD

    Ashley Young akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za 19 na 25 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Watford usi...
    Tuesday, November 28, 2017
    SIMBA KUANZA NA URA, YANGA NA JKU UFUNGUZI ‘MAPINDUZI CUP’ 2018

    SIMBA KUANZA NA URA, YANGA NA JKU UFUNGUZI ‘MAPINDUZI CUP’ 2018

    Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM SIMBA SC itafungua dimba na URA ya Uganda katika michuano maarufu ya Kombe la Mapinduzi, Januari 2, mwaka 2...
    Monday, November 27, 2017
    AZAM FC NA MTIBWA SUGAR HAKUNA MBABE, SARE 1-1 CHAMAZI

    AZAM FC NA MTIBWA SUGAR HAKUNA MBABE, SARE 1-1 CHAMAZI

    Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imeshindwa kuitoa juu ya msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba SC baada ya ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top