• HABARI MPYA

  Monday, January 18, 2016

  SUAREZ AFUNGA MATATU, MESSI, NEYMAR NA RAKITIC MOJA KILA MMOJA BARCA YAUA 6-0 LA LIGA

  Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao matatu katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Messi, Neymar na Rakitic  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AFUNGA MATATU, MESSI, NEYMAR NA RAKITIC MOJA KILA MMOJA BARCA YAUA 6-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top