Mwanzo > YANGA > YANGA SC YAINGIA MKATABA WA USHIRIKA NA BENKI ZA NMB NA CRDB HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA YANGA SC YAINGIA MKATABA WA USHIRIKA NA BENKI ZA NMB NA CRDB KLABU ya Yanga imeingia makubaliano ya ushirikiano na Benki za NMB na CRDB katika kuongeza ufanisi wa Usajili na Masuluhisho ya kifedha kwa Wanachama na Mashabiki wake. Saturday, July 01, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment