• HABARI MPYA

  Friday, July 07, 2023

  TWIGA STARS YACHAPWA 3-1 NA UGANDA MECHI YA KIRAFIKI LUGOGO


  TIMU ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, Twiga Stars leo imechapwa Mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Uganda ‘The Crested Cranes’ Uwanja wa Omondi, Lugogo Jijini Kampala.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS YACHAPWA 3-1 NA UGANDA MECHI YA KIRAFIKI LUGOGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top