• HABARI MPYA

  Wednesday, July 05, 2023

  RAIS SAMIA TAYARI YUPO MALAWI KUISHUHUDIA YANGA LILONGWE KESHO


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais wa Malawi, Dk. Lazarus McCarthy Chakwera wakisalimiana na wachezaji wa timu ya Yanga ambao walikuwepo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Jijini Lilongwe nchini Malawi leo.
  Rais Samia Suluhu Hassan aliyewasili leo Malawi atashuhudia mchezo wa kirafiki kesho baina ya Yanga iliyowasili leo pia dhidi ya wenyeji, Nyasa Big Bullets Uwanja wa Bingo Mutharika mjini humo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA TAYARI YUPO MALAWI KUISHUHUDIA YANGA LILONGWE KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top