Mwanzo > YANGA > MIGUEL GAMONDI AWASILI DAR KUANZA KAZI YANGA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA MIGUEL GAMONDI AWASILI DAR KUANZA KAZI YANGA SC KOCHA mpya wa Yanga SC, Muargentina Miguel Angel Gamondi amewasili Alfajiri ya leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam tayari kuanza kuindaa timu kuelekea msimu ujao. Saturday, July 08, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment