• HABARI MPYA

  Monday, May 01, 2023

  SERIKALI YASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WOTE UWANJA WA MKAPA


  SERIKALI imeusimamisba kazi uongozi wote wa Juu wa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kupisha uchunguzi wa tukio la kuzimika kwa taa wakati wa mechi, ambalo jana lilijirudia kwa mara ya pili timu ya Yanga ikimenyana na Rivers United ya Nigeria.

  Pamoja na hayo, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa pongezi kwa klabu ya Yanga kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kufuatia kuitoa Rivers United ya Nigeria kwa jumla ya mabao 2-0.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERIKALI YASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WOTE UWANJA WA MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top