• HABARI MPYA

  Monday, May 01, 2023

  AZAM FC YATAMBULISHA KOCHA MPYA MSENEGAL


  KLABU ya Azam FC imemtambulisha Msenegal, Youssouph Dabo kuwa Kocha wake mpya Mkuu  kuanzia msimu ujao wa 2023/24 baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YATAMBULISHA KOCHA MPYA MSENEGAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top